92 Cranbourne Ave Benoni South Africa +27 73 137 0603
Follow us:

227 VILIMA VYOTE NA MABONDE (E)

Vilima vyote na mabonde Vitayeyushua neno lake Bwana imara litasimama

Chorus

Simama imara ujilinde neno lake Bwana imara kisha kila siku uombe utasimama

Bwana Yesu atapokuja tutamuona neno lake Bwana imara litasimama

Chorus

Simama imara ujilinde neno lake Bwana imara kisha kila siku uombe utasimama

Sisi wote tuwe tayari kua kuogojea hatujui siku wala saa Bwana atarudi

Chorus

Simama imara ujilinde neno lake Bwana imara kisha kila siku uombe utasimama