Siku yangu ya kuona Bwana, Inakaribia sana... Ninaamini kuona Yesu Uzima wangu. (×2)
Bwana kuja... (Bwana kuja twende) Tuende kwetu... Vya dunia tunachoka... Mazambi tunachoka...
2. Natamani kwa moyo wangu, Kwenda pamoja na Yesu... Na Kwikala naye milele, Pa kiti cha Enzi. (×2)
Bwana kuja... (Bwana kuja twende) Tuende kwetu... Vya dunia tunachoka... Mazambi tunachoka...
3. Ndugu zangu tukaze mwendo, Tusirudi nyuma tena... Vya dunia; vinanza kwisha, Twende, twende Kwetu. ,(×2)