1. Yesu Rafiki aliyenipenda, Akaniokoa mimi Katika Musalaba wa Golgotha ; Oh ! Yesu, Yesu Rafiki !
Oh ! Nitamurudishia nini ? Mateso mengi alipata. Sababu yangu Yesu alikufa, Oh ! Yesu, Yesu Rafiki !
2. Yesu Rafiki alisema kwamba : " Nitarudia kuwabeba nyinyi" Upendo gani, Yesu alikufa ; Oh ! Yesu, Yesu Rafiki !
Oh ! Nitamurudishia nini ? Mateso mengi alipata. Sababu yangu Yesu alikufa, Oh ! Yesu, Yesu Rafiki !
3. Ndugu na dada waliomwamini, Muwe tayari kwa kwenda na Yesu, Mutafurahi pamoja milele : Oh ! Yesu, Yesu Rafiki